Ruka kwenda kwenye makala
🌱 KilimoElimu • Uzalishaji • Soko
⌕
Mwanzo→Nyanya
Nyanya • Mwongozo wa vitendo

Huu ni mfano wa Kuigwa

  Shamba la kilimo cha umwagiliaji cha Mbogamboga la Ngongoseke lililoko katika kijiji cha Nsola wilayani Magu ni mfano wa kuigwa katika matumizi ya ziwa Victoria. Pichani, nyanya ndogondogo maarufu kwa jina…

Huu ni mfano wa Kuigwa
Nyanya / Kilimo Tanzania
MUHTASARI1 min

Makala hii imepangwa kwa hatua zinazosomeka na kutekelezeka shambani.

 

Shamba la kilimo cha umwagiliaji cha Mbogamboga la Ngongoseke lililoko katika kijiji cha Nsola wilayani Magu ni mfano wa kuigwa katika matumizi ya ziwa Victoria. Pichani, nyanya ndogondogo maarufu kwa jina la nyanyapori zikiwa zimelimwa kitalaam kwenye shamba hilo ambalo, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alilitembelea Septemba 13, 2012. Mtoto akiwa amenyanyuliwa juu ili aweze kumwona Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Sabasaba Mjini Magu akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza, Septemba 13, 2012.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua gati la kupokelea samaki katika

PITIA
HIZI NDIZO AINA YA NYANYA UNAZOWEZA KUHIFADHI MUDA MREFU BILA KUHARIBIKA