FAHAMU KIUNDANI KUHUSU VIOTA VYA KUKU-2
Viota ni mahali ambapo kuku hutaga mayai, kuhatamia na kuangua vifaranga. Hii inamaanisha kuwa viota ni sehemu muhimu sana ya kuzingatia ili kuweza kupata…
Soma mwongozoChunguza maarifa mapya ya kilimo, ufugaji, afya, masoko na biashara ya shambani.
Viota ni mahali ambapo kuku hutaga mayai, kuhatamia na kuangua vifaranga. Hii inamaanisha kuwa viota ni sehemu muhimu sana ya kuzingatia ili kuweza kupata…
Soma mwongozo
Katika maeneo mengi ya Afrika mashariki hususani Tanzania tuna kiasi kikubwa sana cha maji kwenye mito, chemichemi, maziwa na maji ya ardhini(undergroundwater) ambapo asilimia…
Soma mwongozo
Muda wote ule unapotaja kilimo, hutoacha kutaja uti wa mgongo wa nchi yeyote ile kwa njia moja ama nyingine. Katika umri wangu ilinibidi kujitosa…
Soma mwongozo
Zipo dawa tofauti za asili zinazopatikana kirahisi kwenye mazingira ya vijijini ambazo zina uwezo wa kutibu magonjwa ya kuku. Katika mada hii taelezea baadhi…
Soma mwongozo
Lakini kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa na tabia ya nchi mvua iliyokuwa ikitegemewa sana na wakulima kama chanzo cha maji kwa mimea…
Soma mwongozo
Ndugu mfugaji ni ukweli usiopingika wala kujadilika kuwa katika ufugaji kuna baadhi ya mambo wafugaji tunayafanya lakini hayakupaswa kufanyika, yafuatayo ni ya kujiepusha nayo…
Soma mwongozo
Kabla hujaamua kufuga sungura hakikisha ya kwamba umejitoa na una muda wa kuwahudumia wanyama waha, ufugaji wao si rahisi kama vile ukifuga paka au…
Soma mwongozo
Udongo ni rasilimali muhimu inayotumiwa katika shughuli mbalimbali ikiwemo kilimo ambacho kinategemewa na watanzania kuendesha uchumi wa taifa. Lakini uharibifu wa mazingira umechangia kushuka…
Soma mwongozo
Mchicha ni mboga za majani ambazo zina faida lukuki katika miili yetu. Ukiachilia mbali faida hizo pia kilimo cha mchicha kina faida lukuki hasa…
Soma mwongozo
Mboji ni nini? Mboji ni aina ya mbolea ya asili yenye rangi nyeusi na harufu nzuri ya kidongo ambayo hutokana na kuoza kwa mchanganyiko…
Soma mwongozo