MAGONJWA YA KUKU YANAYOTIBIKA KWA ALOE VERA
Shubiri mwitu (Aloe VERA) ni mmea ambao umekuwa ukitumika kwa kutibu magonjwa mbalimbali ya binadamu na mifugo. Mmea huu unatumika sasa kutengeneza sabuni, dawa…
Soma mwongozoChunguza maarifa mapya ya kilimo, ufugaji, afya, masoko na biashara ya shambani.
Shubiri mwitu (Aloe VERA) ni mmea ambao umekuwa ukitumika kwa kutibu magonjwa mbalimbali ya binadamu na mifugo. Mmea huu unatumika sasa kutengeneza sabuni, dawa…
Soma mwongozo
1. New Zealand Whites: Hii ni jamii mojawapo maarufu kwa ufugaji wa sungura wa nyama, na kwa nchi kama Marekani, nyama yake ndiyo bora zaidi…
Soma mwongozo
Siku ya leo tutaendelea na kwa kuangalia magonjwa mengine ya kuku ambayo hutibika kwa dawa kama ifuatayo: 1.KUHARA DAMU (coccidiosis) Ugonjwa huu husababishwa na virusi.Dalili. Kuku…
Soma mwongozo
Kuku wa mayai ili watage vizuri wanatakiwa walishwe chakula bora kwa utaratibu unaotakiwa, ukiwazidishia au kuwaongezea hawatotaga vizuri. Wanatakiwa walishwe kati na kati kulingana…
Soma mwongozo
Je wewe hufurahia kutunza bustani? Huenda unanufaika hata zaidi kutokana na utendaji huo. Kulingana na gazeti moja la London (Independent), watafiti wamegundua kwamba “kutunza…
Soma mwongozo
Matayarisho: Ganda la nje la mbengu ya mtiki ni gumu sana na lina sumu mbaya.Unatakiwa uloweke mbegu ya mitiki kwa masaa 72, na kila…
Soma mwongozo
Chanjo hii ina virusi hai vya mdondo vinavyotengeneza kinga dhidi ya ugonjwa wa mdondo/kideri. Virusi hivi vimeoteshwa kwenye mayai ya kuku wasiokuwa na magonjwa…
Soma mwongozo
Ukashauji wa mboga za majani ni njia ambayo inatumika sana maeneo ya vijijini lakini si vibaya ikianza pia kutumika maeneo ya mijini kwani ni…
Soma mwongozo
Spinachi ni moja kati ya mazao ya mbogamboga inayo limwa sana nchini Tanzania na asili yake ni china na ndo maaana huwa tunaiita chinese…
Soma mwongozo
Funza wa vitumba ni nondo, na ni mdudu mharibifu maarufu wa kunde na maharage mengine kote Afrika Mashariki na Magharibi. Viwavi hula vitumba na…
Soma mwongozo