JINSI YA KUDHIBITI VIWAVIJESHI KWA KUTUMIA VIUTILIFU.
Kiwavijeshi Vamizi ajulikanae kama Fall Armyworm au kwa jina la kitaalamu “Spodoptera frugipedra” asili yake ni Bara la America. Mdudu alionekana kwa mara ya…
Soma mwongozoEneo maalumu la kusoma Nyaraka za Kilimo
Kiwavijeshi Vamizi ajulikanae kama Fall Armyworm au kwa jina la kitaalamu “Spodoptera frugipedra” asili yake ni Bara la America. Mdudu alionekana kwa mara ya…
Soma mwongozo
Aina za Greenhouse.Greenhouse zinagawanyika makundi mbalimbali kutegemeana na vigezo vifuatavyo:Aina za Greenhouse kwa kigezo cha sura/umbile (shape)Zipo aina aina 8 za greenhouse, hapa nitataja…
Soma mwongozo
Pamba ni moja la zao ambalo pia hurimwa nchini Tanzania, hukuzwa kwa kutumia tunda lake pia hilo tunda hua na nyewele nyeupe, hizo nywele…
Soma mwongozo
Mbegu za nyanya huoteshwa kwanza kwenye kitalu na baadaye huhamishiwa shambani.Matayarisho ya kitalu hufanyika wiki 1 au 2 kabla ya kusia mbegu. Tengeneza tuta…
Soma mwongozo
a) Tengeru’97 ambayo ina sifa vifuatazo: Huzaa sana kutokana na wingi wa matunda na muda mrefu wa kuvuna, ambao hufikia michumo mikubwa kati ya…
Soma mwongozo
Kilimo cha miwa ni kilimo chenye tija kwa mkulima, kilimo hiki kinaweza kufanywa na mtu yeyote yule aidha awe ameajieiwa au laaa! Jambo la…
Soma mwongozo
Tufaa ni tunda moja maarufu duniani ambalo hupendwa kuliwa na watu wa jamii zote, hii inatokana na utamu wake pamoja na faida za kiafya…
Soma mwongozo
Magonjwa.1. Fusarium wilt (Mnyauko)Njinsi ya kuepuka. .Tandika shamba lako na majani makavu ili kupunguza joto.•Ng’oa mimea yote iliyougua na choma moto mabaki.•Epuka kusambaza ugonjwa…
Soma mwongozo
Nyanya ni zao la mboga ambalo hulimwa sehemu nyingi duniani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama zao la biashara. Inahisiwa kuwa…
Soma mwongozo
Nanasi ni tunda la kitropiki, linalopendwa na walaji wengi kwa sababu ya ladha yake tamu na harufu yake nzuri. Tunda hili laweza liwa mara…
Soma mwongozo