Ruka kwenda kwenye makala
🌱 KilimoElimu • Uzalishaji • Soko
⌕
Mwanzo→Ufugaji
Ufugaji • Mwongozo wa vitendo

HIZI NDIZO FAIDA ZA VITUNGUU SWAUMU KATIKA UFUGAJI WA KUKU

Zipo dawa tofauti za asili zinazopatikana kirahisi kwenye mazingira ya vijijini ambazo zina uwezo wa kutibu magonjwa ya kuku. Katika mada hii taelezea baadhi ya dawa hizo. Dawa ya kutibu Homa ya…

HIZI NDIZO FAIDA ZA VITUNGUU SWAUMU KATIKA UFUGAJI WA KUKU
Ufugaji / Kilimo Tanzania
MUHTASARI1 min

Makala hii imepangwa kwa hatua zinazosomeka na kutekelezeka shambani.

Zipo dawa tofauti za asili zinazopatikana kirahisi kwenye mazingira ya vijijini ambazo zina uwezo wa kutibu magonjwa ya kuku. Katika mada hii taelezea baadhi ya dawa hizo.
Dawa ya kutibu Homa ya Matumbo “Fowl Typhoid” ni Kitunguu swaumu
Kuandaa
•Chukua robo kilo ya vitunguu swaumu
•toa maganda.
•Kisha twanga
•changanya na maji kiasi cha lita moja
•chuja na kuwapa maji yake kwa muda wa juma m
PITIA
MATUMIZI YA UHAKIKA YA DAWA ZA KUDHIBITI VIUMBE HAI TEGEMEZI WA MIFUGO