Ruka kwenda kwenye makala
🌱 KilimoElimu • Uzalishaji • Soko
⌕
Mwanzo→Kilimo101
Kilimo101 • Mwongozo wa vitendo

MFAHAMU KUKU AINA YA KUCHI

Ni kuku warefu kwa umbo na wenye kusimama mgongo ukiwa wima. Wana manyoya machache mwilinini na hasa kifuani, vilemba vyao ni vidogo. Majogoo huwa na wastani wa uzito wa Kg. 2.5 na…

MFAHAMU KUKU AINA YA KUCHI
Kilimo101 / Kilimo Tanzania
MUHTASARI1 min

Makala hii imepangwa kwa hatua zinazosomeka na kutekelezeka shambani.

Ni kuku warefu kwa umbo na wenye kusimama mgongo ukiwa wima. Wana manyoya machache mwilinini na hasa kifuani, vilemba vyao ni vidogo. Majogoo huwa na wastani wa uzito wa Kg. 2.5 na mitetea kg 1.5 mayai ya kuchi yana uzito wa wastani wa gm 45. Ni moja ya jogoo mzuri sana

PITIA
FURSA KWENYE KILIMO CHA MUHOGO