Ruka kwenda kwenye makala
🌱 KilimoElimu • Uzalishaji • Soko
⌕
Mwanzo→Kilimo
Kilimo • Mwongozo wa vitendo

UFAHAMU UGONJWA WA KUKU WA KUVIMBA MACHO

Chanzo cha maambukizi •Maji na chakula kilichochafuliwa na kinyesi cha kuku wagonjwa na kwenye vimelea•Kupitia mfumo wa hewa kutoka kuku wagonjwa•Kupitia mayai, hivyo maambukizi huendelea kutoka kizazi hadi kizazi Dalili •Kuku kukoroma•Kuku hutoa makamasi•Kuku…

UFAHAMU UGONJWA WA KUKU WA KUVIMBA MACHO
Kilimo / Kilimo Tanzania
MUHTASARI1 min

Makala hii imepangwa kwa hatua zinazosomeka na kutekelezeka shambani.

Chanzo cha maambukizi

•Maji na chakula kilichochafuliwa na kinyesi cha kuku wagonjwa na kwenye vimelea
•Kupitia mfumo wa hewa kutoka kuku wagonjwa
•Kupitia mayai, hivyo maambukizi huendelea kutoka kizazi hadi kizazi

Dalili

•Kuku kukoroma
•Kuku hutoa makamasi
•Kuku wanakohoa kwa muda mrefu, wiki hadi mwezi
•Kuvimba macho
•Kutingisha kichwa
•Vivo vya kuku viaweza kufikia hadi asilimia 20
Uchunguzi

Kamasi nzito zenye usaha zilizotapakaa kwenye pia, koromeo, mapafu na vifuko vya hewa

Tiba
Madawa aina ya sulfa na antibiotiki 

PITIA
Cold Room kwa Parachichi: Kupunguza Upotevu Bila Kuharibu Ubora